Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Viongozi wa Sekta ya Maji wakabidhiwa taarfia za Ukaguzi wa Hesabu pamoja na taarifa ya Utendaji ya RUWASA ya Mwaka wa Fedha 2020/2021
Mhe. Jumaa Aweso (Mb) Waziri wa Maji pamoja na viongozi wengine wakishuhudia zoezi la utiaji saini mikataba ya Dira za Maji za malipo kabla ya matumizi
Hafla ya ugawaji imefanyika mbele ya Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) pamoja na viongozi wengine wa Serikali.
RUWASA inajenga na kusimamia huduma za usambazaji maji Tanzania Bara.
Kwa kushirikiana na Wizara ya Afya, RUWASA hupanga na kusimamia huduma za maji taka Tanzania Bara.