Miongozo imeandaliwa na Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) kwa ajili ya kuwaongoza watumishi kufuata matakwa ya kisheria pindi wanapotekeleza majukumu ya kuwapatia wananchi huduma ya majisafi, salama na usafi wa mazingira hususani kwa wananchi waishio maeneo ya vijijini.
Mwongozo wa Kufuata Matakwa ya Kisheria
Mwongozo wa Rasilimaliwatu na Utawala