Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

WAKALA WA MAJI NA USAFI WA MAZINGIRA VIJIJINI

"Maji Bombani"

Sera ya Faragha

Tutahakikisha tunalinda usalama na faragha ya mtumiaji na hivyo, mawasiliano yote kutoka kwa mteja akitembelea tovuti hii yatakuwa ni siri. Hatutowajibika kwa maudhui na kanuni za faragha za tovuti shirikishi zenye viungio katika ama kuelekea kwenye tovuti hii.