Timu ya Tathmini ya Bank ya Dunia ikikagua miradi ya maji
Timu ya Tathmini ya Bank ya Dunia ikikagua miradi ya maji
Timu ya Tathmini ya Kiufundi ya Benki ya Dunia ikifanya ufuatiliaji kwenye moja ya kituo cha kuchotea maji kati ya vituo 13 katika mradi wa Maji wa Bubiki Wilaya ya Kishapu - Mkoa wa Shinyanga.