Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

WAKALA WA MAJI NA USAFI WA MAZINGIRA VIJIJINI

"Maji Bombani"

Timu ya Benki ya Dunia yatembelea Skimu ya Muyengera

Timu ya Benki ya Dunia yatembelea Skimu ya Muyengera

Timu ya Benki ya Dunia ikikagua Skimu ya maji  ya Munyegera Wilaya ya Buhigwe Mkoa wa Kigoma. Skimu hii ilitekelezwa kupitia fedha za Programu ya Malipo kwa Matokeo (PforR). Kiongozi wa Timu ya Bank ya Dunia Madam Toyoko ameipongeza RUWASA kwa kazi kubwa na nzuri zilizotekelezwa Mkoa wa Kigoma.