Waziri wa Maji azindua Skimu ya maji ya Sopa - Kalambo
Waziri wa Maji azindua Skimu ya maji ya Sopa - Kalambo
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso akifungua bomba la maji wakati wa uzinduzi wa Mrdi wa maji wa Sopa Wilayani Kalambo Mkoa wa Rukwa. Kushoto ni Mbunge wa jimbo la Kalambo Mhe. Josephat Kandege.