Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

WAKALA WA MAJI NA USAFI WA MAZINGIRA VIJIJINI

"Maji Bombani"

RUWASA yagawa Pikipiki 250

RUWASA yagawa Pikipiki 250

RUWASA yagawa Pikipiki 250 kwa Vyombo vya Utoaji Huduma ya Maji Ngazi ya Jamii (CBWSO's). Hafla ya ugawaji imefanyika mbele ya Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) pamoja na viongozi wengine wa Serikali. Lengo la RUWASA ni kuvijengea uwezo Vyombo vya Utoaji Huduma ya Maji Ngazi ya Jamii (CBWSO's) kwa kuvipatia rasilimali ili viweze kutekeleza majukumu ya kusimamia huduma ya maji hususani maeneo ya vijijini.