Mkurugenzi Mkuu wa RUWASA Mhandisi Clement
KIVEGALO kulia waliokaa na Mkurugenzi wa Argentum International Group Bi.
Rosemund James kushoto walikaa wakisaini kandarasi ya ununuzi wa pampu za Maji
Vijijini. Wanne kulia waliosimama ni Mhe. Jumaa Aweso (Mb) Waziri wa Maji
pamoja na baadhi ya viongozi wa Menejimenti ya RUWASA na baadhi ya wazabuni
wakishuhudia.