Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

WAKALA WA MAJI NA USAFI WA MAZINGIRA VIJIJINI

"Maji Bombani"

Waziri Mkuu azindua mradi wa maji wa Maghang juu - Mbulu

Waziri Mkuu azindua mradi wa maji wa Maghang juu - Mbulu

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa (Mb) akimtwisha ndoo mkazi wa Maghang Juu wakati wa Uzinduzi wa Mradi wa Maji  wa Maghang Juu - Gidimoy Wilayani Mbulu Mkoa wa Manyara.Wa kwanza kulia ni Mbunge wa Mbulu Vijijini Mhe. Flatei Massay.