Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Hafla ya Uzinduzi wa Matokeo ya PforR 2 and PbR 6 iliyofanyika tarehe 23 - 24 Feb, 2022 katika Ukumbi wa PSSF jijini Dar es Salaam. Hafla hiyo ilihudhuriwa na viongozi wa Sekta ya Maji wakiongozwa na Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb).