Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

WAKALA WA MAJI NA USAFI WA MAZINGIRA VIJIJINI

"Maji Bombani"

Skimu ya Maji ya Ihanda Hanseketwa yazinduliwa

Skimu ya Maji ya Ihanda Hanseketwa yazinduliwa

Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) mwenye Mkasi akizindua mradi wa maji wa Ihanda Hanseketwa Wilayani Mbozi Mkoa wa Songwe, kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Songwe Mhe. Omar Mgunda, kushoto kwake ni mbunge wa jimbo la Vwawa Mhe. Josephat Hasunga na wa kwanza kushoto ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Songwe Mhe. Elynico Mkola.