Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

WAKALA WA MAJI NA USAFI WA MAZINGIRA VIJIJINI

"Maji Bombani"

Skimu ya Maji ya ISULILO Wilaya ya  Maswa - Mkoa wa Simiyu

Skimu ya Maji ya ISULILO Wilaya ya Maswa - Mkoa wa Simiyu

Skimu ya Maji ya Isulilo inahudumia vijiji vitatu vya Isulilo, Ngongwa na Manyanza. Skimu ina Tank lenye ujazo wa 90m3 kwenye mnara wa 15m. Chanzo cha maji ni kisima chenye uwezo wa kutoa maji 12m3/h. Mradi huu umejengwa kwa kupitia fedha za Program ya Malipo kwa Matokeo (PforR). Skimu ina Vituo vya kuchotea maji 15 na maunganisho ya majumbani kaya 10