Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

WAKALA WA MAJI NA USAFI WA MAZINGIRA VIJIJINI

"Maji Bombani"

Mradi wa Maji ya Mseleleko Mamba MajiMoto - Mpimbwe Mkoa wa Katavi

Mradi wa Maji ya Mseleleko Mamba MajiMoto - Mpimbwe Mkoa wa Katavi

Mamba MajiMoto ni mradi wa Maji ambao chanzo chake ni Maji ya Mseleleko. Mpango uliopo ni kufanya upanuzi wa mradi huu ili maji yafike katika kijiji cha Kasima kikiwa na vituo vya kuchotea maji 6 na mtandao wa maji 5km. Mradi upo katika Halmashauri ya Mpimbwe, Wilaya ya Mlele Mkoa wa Katavi.