Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

WAKALA WA MAJI NA USAFI WA MAZINGIRA VIJIJINI

"Maji Bombani"

Ofisi ya Chombo cha Utoaji Huduma ya Maji Ngazi ya Jamii - Itepula Wilaya ya Mbozi Mkoa wa Songwe

Ofisi ya Chombo cha Utoaji Huduma ya Maji Ngazi ya Jamii - Itepula Wilaya ya Mbozi Mkoa wa Songwe

Ofisi ya Chombo cha Utoaji Huduma ya Maji Ngazi ya Jamii - ITEPULA katika Wilaya ya Mbozi Mkoa wa Songwe

Chombo kina Menejiment ya uendeshaji shughuli za kila siku (Fundi na Mhasibu) ambapo chanzocha maji ni kisima chenye Q=13m3/h urefu wa 60m. Tnagi lenye uwezo wa 100m3 raiser 6m limejengwa. Chombo kinaendesha mtandao wa maji wa 15km  ukiwa na DP 14, WP 28 HHC 40 na magati 4. Aidha, makusanyo kwa mwezi ni wastani wa Shilingi 0.8m hadi 0.9m  na matumizi yakiwa na wastani wa shilingi 0.5m hadi 0.6m.