Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

WAKALA WA MAJI NA USAFI WA MAZINGIRA VIJIJINI

"Maji Bombani"

Taarifa za Ukaguzi  na Utendaji - 2020/2021 zakabidhiwa

Taarifa za Ukaguzi na Utendaji - 2020/2021 zakabidhiwa

Mhe. Jumaa Aweso (Mb) Waziri wa Maji (Kulia) na Mhe. Maryprisca Mahundi (Mb) Naibu Waziri wa Maji (Kushoto) wakionesha taarifa ya ukaguzi wa Hesabu za RUWASA na taarifa ya utendajikazi ya Mwaka wa fedha 2022/2021 ya RUWASA wakati wa hafla ya uzinduzi wa taarifa hiyo iliyoendaa sambamba na utiaji saini wa mikataba ya mradi wa kufunga dira za maji za malipo  ya kabla ya matumizi, utagazaji wa bei ukomo za maji vijijini na ugawaji wa pikipiki 250 kwa ofisi za Mikoa za RUWASA.