Mwenge wazindua tangi la maji - Mwambaya - Mkuranga
Mwenge wazindua tangi la maji - Mwambaya - Mkuranga
Tanki la Maji lenye ujazo wa 100m3 katika mnara wa 9m kijiji cha Mwambaya Wilaya ya Mkuranga Mkoa wa Pwani Limezinduliwa na Kiongozi wa Mbio za Mwenge mwezi Agosti, 2021