Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

WAKALA WA MAJI NA USAFI WA MAZINGIRA VIJIJINI

"Maji Bombani"

Viongozi wa Sekta ya Maji na Mameneja wa Mikoa -RUWASA

Viongozi wa Sekta ya Maji na Mameneja wa Mikoa -RUWASA

Viongozi wa Sekta ya Maji wakiwa katika picha ya pamoja na Mameneja wa Mikoa wa RUWASA baada ya kumalizika kikaokazi kuhusu maelekezo mahsusi juu ya utekelezaji wa miradi ya maji kupitia fedha za UVIKO 19. Mhe. Waziri wa Maji ametoa maelekeo hayo kwa viongozi wote wa Sekta ya Maji kuhakikisha kuwa, kila kiongozi anawajibika kwa nafasi yake kuhakikisha kuwa miradi yote iliyopangwa kutekelezwa kupitia fedha za UVIKO 19 inakamilika kabla ya mwezi Juni, 2022.