Mtendaji Mkuu wa RUWASA apokea shehena ya mabomba kwa ajili ya miradi ya maji
Mtendaji Mkuu wa RUWASA apokea shehena ya mabomba kwa ajili ya miradi ya maji
Mtendaji Mkuu wa RUWASA, Mhandisi Clement KIVEGALO (kulia) akizungumza baada ya kupokea shehena ya mabomba kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maji vijijini mkoani Singida. Kushoto ni aliyekuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Maji ,Prof. Kitila Mkumbo.