Idara hii inatekeleza majukumu yafuatayo;
i) |
Kuwezesha uandaaji wa mpango mkakati, mpango wa biashara
na MTEF |
ii) |
Kufanya tathmini na ufuatiliaji wa mipango kazi ya wakala na
bajeti |
iii) |
Kuandaa mfumo wa Ufuatiliaji na Tathmini na Mpango mkakati kwa
RUWASA |
iv) |
Kufanya zoezi la Ufuatiliaji na Tathmini ya RUWASA kwa mujibu
wa lengo lililowekwa na viashiria muhimu vya utekelezaji wa majukumu |
v) |
Kuhamasisha upatikanaji wa rasilimali fedha kutoka vyanzo vya
ndani na nje |
vi) |
Kuandaa mikakati mbalimbali kwa ajili ya kuwezesha upatikanaji
wa fedha za ziada |