Kitengo hiki kinaongozwa na Meneja na hufanya shughuli
zifuatazo: -
i) |
Kushauri juu ya usalama sahihi wa vifaa na data; |
ii) |
Tekeleza sera ya ICT na e-governement; |
iii) |
Kukusanya, kusoma na kuchambua takwimu zinazohitajika katika
mapendekezo ya bajeti na uundaji na utekelezaji wa mipango; |
iv) |
Kuratibu ukusanyaji, uchambuzi na ufafanuzi wa takwimu; |
v) |
Kuratibu na kutoa msaada juu ya ununuzi wa programu na vifaa
vya kompyuta za Wakala; |
vi) |
Utunzaji wa Takwimu za Wakala; |
vii) |
Kuanzisha na kudumisha Tovuti na pamoja na matumizi ya barua
pepe kwenye mtandao wa mtandao wa mdogo (LAN) na mtandao mkubwa (WAN) |
viii) |
Kuandaa na kutekeleza sera ya wakala kwenye masuala ya tekinolojia
ya habari na mawasiliano (ICT) |
ix) |
Kuunda na kudumisha mifumo ya habari kwa ajili ya usimamizi wa
CBWSO na uendeshaji wa miradi ya usambazaji maji na usafi wa mazingira
vijijini |