Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mwongozo wa utekelezaji wa Mikataba ya Ununuzi unalenga kutoa maelekezo mahsusi wakati wa kufanya michakato na taratibu za manunuzi kwenye miradi ya maji.