Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mwongozo wa Rasiliamali watu na Utawala ni kwa ajili ya masuala ya utendaji ya kila siku ili kutoa mwongozo wa kiutumishi kwa watumisha wa Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA).