Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Katika kipindi cha Mwaka wa fedha 2020/2021, RUWASA imejenga na kukamilisha jumla ya miradi 652 ikiwa na vituo vya kuchotea maji 11,457 ambayo inahudumia vijiji 1052 na kunufaisha wananchi wapatao 3,824,914.