Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

WAKALA WA MAJI NA USAFI WA MAZINGIRA VIJIJINI

"Maji Bombani"

Ripoti Mbalimbali za RUWASA

Taarifa kuhusu mrejesho wa uhakiki na tathmini ya utekelezaji wa Programu ya Malipo kwa Matokeo awamu ya kwanza na ya Pili (Payment for Result - PforR). Kwa maelezo zaidi tembelea ukurasa hapa chini.

Taarifa kuhusu mrejesho wa Uhakiki na Tathmini - PforR