Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

WAKALA WA MAJI NA USAFI WA MAZINGIRA VIJIJINI

"Maji Bombani"

Sheria Mbalimbali Kuhusu Huduma za Maji

Sheria Na. 5 ya Mwaka 2019

Sheria Na.5 ya Mwaka 2019 ya Huduma za Maji na Usafi wa Mazingira ilianzishwa baada ya mageuzi makubwa ya kimfumo kuhusu utendaji na uendeshaji wa shughuli za maji nchini. Sheria hii ndiyo chimbuko la kuanzishwa kwa Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) na kuanza kutekeleza majukumu yake rasmi Julai, 2019.

Sheria Na.5 ya Mwaka 2019 ya Huduma za Maji na Usafi wa Mazingira.

Sheria Na. 826 ya Mwaka 2019 Kuhusu Kusajili na kuunganisha Mamlaka za Maji

Sheria Na. 827 Utoaji na Usimamizi wa Huduma za Maji taka