Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mwenyekiti wa Bodi Prof. Idriss Mshoro ametangaza bei Ukomo za Maji Vijijini ambazo zitaanza kutumika rasmi kuanzia tarehe 1 Agosti, 2022.