Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

WAKALA WA MAJI NA USAFI WA MAZINGIRA VIJIJINI

"Maji Bombani"

Kanusho

Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) hufanya kila jitihada kuhakikisha habari zote kwenye tovuti hii ni sahihi. Hata hivyo, haitoi dhamana kwa wasomaji kuwa habari zake zimekamilika au kutopitwa na wakati.

Wakala hautowajibika kwa hatua zozote zilizochukuliwa na mtu yeyote kutokana habari zilizoko kwenye tovuti hii. Aidha, wakati wowote RUWASA inaweza kubadili habari ili kukidhi wasomaji na wakati uliopo bila kutoa taarifa.

RUWASA haikuhakikishii kwamba tovuti na huduma zake hazitakumbwa au kutatizwa na makosa au programu hatarishi na haikubali dhima yoyote juu ya upoteaji au uharibifu wowote utakaotokana na mtumiaji yeyote.

Licha ya tovuti ya RUWASA kuwa na viungio vyenye kuweza kumpeleka mtumiaji kwenye tovuti nyingine, RUWASA haiidhinishi au kukubali kuwajibishwa kutokana na taarifa zilizopo kwenye tovuti hizo.

Ikiwa umekutana na taarifa zozote zisizo na usahihi katika tovuti hii tafadhali wasiliana nasi kupitia: mawasiliano@ruwasa.go.tz.