Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

WAKALA WA MAJI NA USAFI WA MAZINGIRA VIJIJINI

"Maji Bombani"

Mkataba Ujenzi Bwawa la Kwekambala Wakamilika

Mkataba Ujenzi Bwawa la Kwekambala Wakamilika

Mkataba wa ujenzi wa Bwawa la Kwekambala katika Wilaya ya Handeni umekamilishwa kati na Mkurugenzi Mkuu - RUWASA na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Handeni leo tarehe 27 Julai, 2021. Kukamilika kwa ujenzi wa Bwawa hili kutasaidia upatikanaji wa majisafi na usafi wa mazingira kwa wananchi waishio katika Wilaya ya Handeni.